Afande Sele afunguka “Kumtukana Diamond ni sawa na kuitukana Taifa Stars, unakatisha wengine tamaa” (+Video)

Mkongwe wa Hip hip kutoka maeneo ya Morogoro Afande Sele amefunguka mwanzo mwisho kuhusiana na jinsi Diamond anavyoendelea kuwasaidia vijana katika tasnia ya muziki.

Akiongea na Bongo 5 katika tamasha la Wasafi lililofanyika mkoani Morogoro na kusema kwamba “Kumtukana Diamond ni sawa na kuitukana taifa Stars maana anaiwakilisha nchini maeneo tofauti tofauti duniani”

Angalia mahojiano yake na Bongo5:-

By Ally Juma.

 

The post Afande Sele afunguka “Kumtukana Diamond ni sawa na kuitukana Taifa Stars, unakatisha wengine tamaa” (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Pin It

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *